Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 22:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Bassi enendeni hatta njia panda za njia kuu, na wote mwaonao waiteni arusini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Basi, nendeni kwenye barabara na wowote wale mtakaowakuta waiteni waje harusini.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Basi, nendeni kwenye barabara na wowote wale mtakaowakuta waiteni waje harusini.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Basi, nendeni kwenye barabara na wowote wale mtakaowakuta waiteni waje harusini.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Kwa hiyo nendeni katika njia panda mkamwalike karamuni yeyote mtakayemwona.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Kwa hiyo nendeni katika njia panda mkamwalike karamuni yeyote mtakayemwona.’

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:9
16 Marejeleo ya Msalaba  

Wakamwambia, Kwa sababu hakuna mtu aliyetuajiri. Akawaambia, Enendeni na ninyi katika shamba la mizabibu, na iliyo haki mtapata.


Watumishi wale wakatoka wakaingia njia kuu, wakakusanya wote waliowaona, waovu na wema: arusi ikajaa wageni.


Kisha akawaambia watumishi wake. Arusi i tayari, lakini wale walioalikwa hawakustahili.


na mataifa yote wakhubiriwe kwa jina lake toba na ondoleo la dhambi, kuanzia Yerusalemi.


Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana, Nimekuweka uwe nuru ya mataifa, Upate kuwa wokofu hatta mwisho wa dunia:


Mimi, niliye mdogo kuliko yeye aliye mdogo wa watakatifu wote, nilipewa neema hii, kuwakhubiri Mataifa utajiri wake Kristo usiopimika;


Na Roho na Bibi arusi wasema, Njoo. Nae asikiae aseme, Njoo. Nae aliye na kiu, na aje: na apendae ayatwae maji ya uzima burre.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo