Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 22:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Bassi yule mfalme alipopata khahari, akaghadhabika: akapeleka majeshi yake, akawaangamiza wauaji wale, akauteketeza mji wao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Yule mfalme akakasirika, akawatuma askari wake wakawaangamize wauaji hao na kuuteketeza mji wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Yule mfalme akakasirika, akawatuma askari wake wakawaangamize wauaji hao na kuuteketeza mji wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Yule mfalme akakasirika, akawatuma askari wake wakawaangamize wauaji hao na kuuteketeza mji wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Yule mfalme akakasirika sana, akapeleka jeshi lake likawaangamiza wale wauaji na kuuteketeza mji wao kwa moto.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Yule mfalme akakasirika sana, akapeleka jeshi lake likawaangamiza wale wauaji na kuuteketeza mji wao kwa moto.

Tazama sura Nakili

Mathayo 22:7
18 Marejeleo ya Msalaba  

nao waliosalia wakawakamata watumishi wake, wakawatenda jeuri, wakawana.

Kisha akawaambia watumishi wake. Arusi i tayari, lakini wale walioalikwa hawakustahili.

Walakini wale adui zangu wasiotaka niwatawale, waleteni huku mkawachinje mhele zangu.

Ndipo walio katika Yahudi wakimbilie milimani, na walio katikati yake watoke waende zao, na walio shambani wasiuingie.

Nao wataanguka kwa ukali wa upanga, watachukuliwa mateka mpaka mataifa yote: nao Yerusalemi utakanyagwa na mataifa, hatta majira ya mataifa yatakapotimia.

wakituzuia tusiseme na mataifa wapate kuokolewa; illi watimize dhambi zao siku zote; lakini hasira imewafikia hatta mwisho.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo