Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 22:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 nao waliosalia wakawakamata watumishi wake, wakawatenda jeuri, wakawana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatukana, wakawaua.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatukana, wakawaua.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatukana, wakawaua.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Wengine wao wakawakamata wale watumishi wake, wakawatesa na kuwaua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Wengine wao wakawakamata wale watumishi wake, wakawatesa na kuwaua.

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:6
16 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini hawakujali, wakaenda zao, mmoja shambani kwake, mmoja kwenye biashara yake:


Bassi yule mfalme alipopata khahari, akaghadhabika: akapeleka majeshi yake, akawaangamiza wauaji wale, akauteketeza mji wao.


Kwa maana atatiwa katika mikono ya Mataifa, atafanyiwa dhihaka na kutendwa jeuri, na kutemewa mate;


NA Saul alikuwa akiona vema auawe. Siku ile kukatukia adha nyingi juu ya kanisa lililokuwa katika Yerusalemi: wote wakatawanyika katika inchi ya Yahudi na Samaria, illa mitume.


Wakumbukeni waliofungwa kana kwamba mmefungwa pamoja nao; nao wanaodhulumiwa, kwa kuwa nanyi m katika mwili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo