Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 22:46 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

46 Hakuweza mtu kumjibu neno; wala hakuthubutu mtu tangu siku ile kumwuliza neno tena.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

46 Hakuna mtu yeyote aliyeweza kumjibu neno. Na tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu tena kumwuliza swali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

46 Hakuna mtu yeyote aliyeweza kumjibu neno. Na tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu tena kumwuliza swali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

46 Hakuna mtu yeyote aliyeweza kumjibu neno. Na tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu tena kumwuliza swali.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

46 Hakuna mtu aliyeweza kumjibu Isa neno. Tena tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu kumuuliza tena maswali.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

46 Hakuna mtu aliyeweza kumjibu Isa neno. Tena tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu kumuuliza tena maswali.

Tazama sura Nakili

Mathayo 22:46
12 Marejeleo ya Msalaba  

Wakamjibu Yesu, wakasema, Hatujui. Nae akawaambia, Wala mimi siwaambii ninyi kwa mamlaka gani ninafanya haya.

Bassi, Daud akimwita Bwana, amekuwaje mwana wake?

Yesu, alipoona kwamba amejibu kwa busara, akamwambia, Wewe huwi mbali na ufalme wa Mungu. Wala hakuthubutu mtu kumsaili neno tena tokea hapo.

Na aliposema haya, watu wote walioshindana nae wakatahayarika, mkutano wote wakafurahi kwa ajili ya mambo matukufu yaliyotendwa nae.

Akamtwaa, akamponya, akamrukhusu.

Nao hawakuweza kumjibu kwa haya.

Wala hakuthubutu mtu kumwuliza neno baada ya haya.

Na wakimwona yule aliyeponywa akisimama pamoja nao hawakuwa na neno la kujibu.

Mimi ni Mungu wa baba zako, Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaak, na Mungu wa Yakobo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo