Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 22:45 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

45 Bassi, Daud akimwita Bwana, amekuwaje mwana wake?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

45 Basi, ikiwa Daudi anamwita Kristo ‘Bwana,’ anawezaje kuwa mwanawe?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

45 Basi, ikiwa Daudi anamwita Kristo ‘Bwana,’ anawezaje kuwa mwanawe?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

45 Basi, ikiwa Daudi anamwita Kristo ‘Bwana,’ anawezaje kuwa mwanawe?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

45 Kama basi Daudi anamwita yeye ‘Bwana,’ awezaje kuwa mwanawe?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

45 Kama basi Daudi anamwita yeye ‘Bwana,’ awezaje kuwa mwanawe?”

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:45
9 Marejeleo ya Msalaba  

Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume, Hatta niwawekapo adui zako chini ya miguu yako?


Hakuweza mtu kumjibu neno; wala hakuthubutu mtu tangu siku ile kumwuliza neno tena.


Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambieni, Kabla Ibrahimu hajakuwapo, Mimi nipo.


na katika bao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili, aliye juu ya mambo yote, Mungu, anaehimidiwa milele. Amin.


Na bila shaka siri ya utawa ni kuu. Mungu alidhibirishwa katika mwili, alihesabiwa kuwa na wema katika roho, alionekana na malaika, alikhubiriwa katika mataifa, aliaminiwa katika ulimwengu, alichukuliwa juu katika utukufu.


Bassi, kwa kuwa watoto wameshiriki damu na mwili, yeye nae vivyo hivyo alishiriki yayo bayo, illi kwa njia ya mauti amharibu yeye aliyekuwa na nguvu za mauti, yaani Shetani,


Mimi Yesu nalimtuma malaika wangu kuwashuhudia ninyi mambo hayo katika makanisa. Mimi ndimi niliye Shina na Mzao wa Daud, ile nyota yenye kungʼaa ya assubuhi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo