Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 22:43 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

43 Akawaambia, Imekuwaje bassi Daud katika Roho kumwita Bwana, akinena,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

43 Yesu akawaambia, “Basi, inawezekanaje kwamba kwa nguvu ya Roho Mtakatifu Daudi anamwita yeye Bwana? Maana alisema:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

43 Yesu akawaambia, “Basi, inawezekanaje kwamba kwa nguvu ya Roho Mtakatifu Daudi anamwita yeye Bwana? Maana alisema:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

43 Yesu akawaambia, “Basi, inawezekanaje kwamba kwa nguvu ya Roho Mtakatifu Daudi anamwita yeye Bwana? Maana alisema:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

43 Akawaambia, “Inakuwaje basi kwamba Daudi, akinena kwa kuongozwa na Roho wa Mungu, anamwita Al-Masihi ‘Bwana’? Kwa maana asema,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

43 Akawaambia, “Inakuwaje basi kwamba Daudi, akinena kwa kuongozwa na Roho, anamwita Al-Masihi ‘Bwana’? Kwa maana asema,

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:43
10 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa sababu Daud mwenyewe alisema, kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, Bwana alimwambia Bwana wangu, Keti mkono wangu wa kuume Hatta niwafanyapo adui zako kuwa chini ya miguu yako.


Ndugu imepasa andiko litimizwe, alilolinena Roho Mtakatifu zamani kwa kinywa cha Daud, katika khabari za Yuda, aliyekuwa kiongozi wao waliomkamata Yesu: kwa sababu alikuwa amehesabiwa pamoja na sisi,


Kwa hiyo nawaarifu, ya kwamba hapana mtu asemae katika Roho ya Mungu, anenae, Yesu ni anathema; wala hawezi mtu kusema, Yesu ni Bwana, isipokuwa katika Roho Mtakatifu.


Kwa hiyo, kama anenavyo Robo Mtakatifu, Leo, kama mtasikia sauti yake,


Maana unabii haukuletwa zamani kwa mapenzi ya mwana Adamu; hali wana Adamu, watakatifu wa Mungu, walinena, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.


Nalikuwa katika Roho, siku ya Bwana; nikasikia sauti kuu nyuma yangu, kama sauti ya baragumu,


Na marra nalikuwa katika Roho; na tazama, kiti cha enzi kimewekwa mbinguni na juu ya kile kiti ameketi mmoja:


Tufuate:

Matangazo


Matangazo