Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 22:42 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

42 akinena, Mwaonaje katika khabari za Kristo? Yu mwana wa nani? Wakamwambia, Wa Daud.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

42 “Nyinyi mwaonaje juu ya Kristo? Je, ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Wa Daudi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

42 “Nyinyi mwaonaje juu ya Kristo? Je, ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Wa Daudi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

42 “Nyinyi mwaonaje juu ya Kristo? Je, ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Wa Daudi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

42 “Mnaonaje kuhusu Al-Masihi? Yeye ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Yeye ni mwana wa Daudi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

42 “Mnaonaje kuhusu Al-Masihi? Yeye ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Yeye ni Mwana wa Daudi.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:42
24 Marejeleo ya Msalaba  

KITABU eba ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daud, mwana wa Ibrahimu.


Nao waliokuwa ndani ya chombo wakamwendea, wakamsujudia, wakinena, Hakika wewe u Mwana wa Mungu.


Na makutano waliotangulia, na waliofuata, wakapaaza sauti zao, wakinena, Utuokoe sasa, Mwana wa Daud; amebarikiwa ajae kwa jina la Bwana; Utuokoe sasa wewe uliye juu.


Akawaambia, Imekuwaje bassi Daud katika Roho kumwita Bwana, akinena,


Yesu alipokuwa anaondoka kutoka huko, vipofu wawili wakamfuata wakipaaza sauti, wakinena. Uturehemu, Ee mwana wa Daud.


Nathanaeli akajibu, akamwambia, Rabbi, wewe u Mwana wa Mungu, ndiwe mfalme wa Israeli.


Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu, na Mungu wangu.


Hapo hapana Myunani wala Myahudi, kutahiriwa wala kutokutahiriwa, mshenzi wala Mskuthi, mtumwa wala mungwana, bali Kristo ni yote, na katika wote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo