Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 22:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

40 Amri hizi mbili yazitegemea torati yote nao manabii.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Sheria yote ya Mose na mafundisho ya manabii vinategemea amri hizi mbili.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Sheria yote ya Mose na mafundisho ya manabii vinategemea amri hizi mbili.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Sheria yote ya Mose na mafundisho ya manabii vinategemea amri hizi mbili.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Amri hizi mbili ndizo msingi wa Torati na Manabii.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Amri hizi mbili ndizo msingi wa Torati na Manabii.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:40
9 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi yo yote mtakayo kutendewa na watu, nanyi mwatendee vivyo hivyo: maana hiyo ndiyo torati na manabii.


Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa, neema na kweli zilikuwa kwa mkono wa Yesu Kristo.


Maana ile, Usizini, Usiue, Usiibe, Usishududu uwongo, Usitamani; na ikiwapo amri nyingine yo yote, inajumlishwa katika neno hili, ya kwamba, Mpende jirani wako kama nafsi yako.


Maana sharia yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili, Umpende jirani yako kama nafsi yako.


Bali kusudi la mausia hayo ni upendo utokao katika moyo safi na dhamiri njema, na imani isiyo na unafiki:


Illakini mkiitimiza sharia ya kifalme kama ilivyoandikwa. Mpende jirani yako kama nafsi yako, mwatenda vyema.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo