Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 22:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

37 Yesu akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Yesu akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa akili yako yote’.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Yesu akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa akili yako yote’.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Yesu akamjibu, “‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa akili yako yote’.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Isa akamjibu, “ ‘Mpende Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Isa akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mwenyezi Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote.’

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:37
13 Marejeleo ya Msalaba  

Mwalimu, katika torati ni amri ipi iliyo kuu?


Amri ya kwanza na iliyo kuu ndiyo hii.


na kumpenda kwa moyo wote, na kwa ufahamu wote, na kwa roho yote, na kwa nguvu zote, na kumpenda jirani kama nafsi yako, kwafaa kuliko kafara zote na dhabihu zote.


Nae akajibu akasema, Mpende Bwana Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote; na jirani yako kama nafsi yako.


Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu, kwa maana haitii sharia ya Mungu wala haiwezi.


Na amri hii tumepewa nae, ya kwamba yeye ampendae Mungu, ampende na ndugu yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo