Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 22:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 Mwalimu, katika torati ni amri ipi iliyo kuu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 “Mwalimu, ni amri ipi iliyo kuu katika sheria?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 “Mwalimu, ni amri ipi iliyo kuu katika sheria?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 “Mwalimu, ni amri ipi iliyo kuu katika sheria?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 “Mwalimu, ni amri ipi katika Torati iliyo kuu kuliko zote?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 “Mwalimu, ni amri ipi katika Torati iliyo kuu kuliko zote?”

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:36
8 Marejeleo ya Msalaba  

Mkalitangua neno la Mungu kwa mapokeo yemi.


Mmoja wao, mwana sharia, akamwuliza, akimjaribu; akinena,


Yesu akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote.


Bali ole wenu Mafarisayo, kwa sababu mnalipa zaka za mnaana na mchicha, na killa mboga, mkaacha adili na upendo wa Mungu: iliwapaseni kuyafanya haya ya kwanza bila kuacha haya ya pili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo