Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 22:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

35 Mmoja wao, mwana sharia, akamwuliza, akimjaribu; akinena,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Mmoja wao, mwanasheria, akamwuliza Yesu kwa kumjaribu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Mmoja wao, mwanasheria, akamwuliza Yesu kwa kumjaribu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Mmoja wao, mwanasheria, akamwuliza Yesu kwa kumjaribu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Mmoja wao, mtaalamu wa Torati, akamuuliza swali ili kumjaribu, akisema,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Mmoja wao, mtaalamu wa Torati, akamuuliza swali ili kumjaribu, akisema,

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:35
10 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Yesu akaufahamu uovu wao, akasema, Mbona mnanijaribu, enyi wanafiki?


Mwalimu, katika torati ni amri ipi iliyo kuu?


Mafa risayo wakamwendea, wakamwuliza, Ni balali mtu kumwaeha mkewe? wakimjaribu.


Ole wenu, enyi wana sharia, kwa sababu mliuchukua ufunguo wa maarifa; ninyi wenyewe hamkuingia, na wale waliokuwa wakiingia mliwazuia.


Yesu akajibu akawaambia wana sharia na Mafarisayo, akisema, Je? ni halali kuponya siku ya sabato, ama sivyo? Wakanyamaza.


Bali Mafarisayo na wana sharia walijikatalia shauri la Mungu kwa kuwa hawakubatizwa nae.


Wakasema neno hili wakimjaribu wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika inchi.


Zena, mjua sharia, na Apollo uwusafirishe kwa bidii; wasipungukiwe cho chote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo