Mathayo 22:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192134 Na Mafarisayo waliposikia ya kwamba amewafumba kinywa wale Masadukayo, wakakusanyika pamoja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Mafarisayo waliposikia kwamba Yesu alikuwa amewanyamazisha Masadukayo, wakakutana pamoja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Mafarisayo waliposikia kwamba Yesu alikuwa amewanyamazisha Masadukayo, wakakutana pamoja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Mafarisayo waliposikia kwamba Yesu alikuwa amewanyamazisha Masadukayo, wakakutana pamoja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Mafarisayo waliposikia kwamba Isa alikuwa amewanyamazisha Masadukayo, Mafarisayo wakakusanyika pamoja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Mafarisayo waliposikia kwamba Isa alikuwa amewanyamazisha Masadukayo, Mafarisayo wakakusanyika pamoja. Tazama sura |