Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 22:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 Makutano waliposikia, wakashangaa kwa elimu yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Ule umati wa watu uliposikia hivyo ukayastaajabia mafundisho yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Ule umati wa watu uliposikia hivyo ukayastaajabia mafundisho yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Ule umati wa watu uliposikia hivyo ukayastaajabia mafundisho yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Wale umati wa watu waliposikia hayo, walishangaa sana kwa mafundisho yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Ule umati wa watu uliposikia hayo, ulishangaa sana kwa mafundisho yake.

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:33
8 Marejeleo ya Msalaba  

Waliposikia, wakataajabu, wakamwacha, wakaenda zao.


Wakamwambia, Ya Kaisari. Yesu akajibu, akawaambia, Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu. Wakamtaajahia sana.


Ilipokuwa sabato, akaanza kufundisha katika sunagogi: wengi wakisikia, wakashangaa, akinena, Huyu amepata wapi haya? Na, Hekima gani hii aliyopewa huyu, na nini miujiza hii mikubwa inayotendeka kwa mikono yake?


Wote waliomsikia wakataajahu kwa akili zake na majibu yake.


Wakamshuhudia wote, wakayastaajabia maneno ya neema yaliyotoka kinywani mwake: wakanena, Huyu siye Mwana wa Yusuf?


Wale watumishi wakajibu, Hajanena kamwe mwana Adamu aliye yote kama huyu anavyonena.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo