Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 22:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 Tena katika khabari ya kiyama ya wafu, hamjaiisoma neno lililonenwa na Mungu, akisema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Lakini kuhusu kufufuka kwa wafu, je, hamjasoma yale aliyowaambieni Mungu? Aliwaambia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Lakini kuhusu kufufuka kwa wafu, je, hamjasoma yale aliyowaambieni Mungu? Aliwaambia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Lakini kuhusu kufufuka kwa wafu, je, hamjasoma yale aliyowaambieni Mungu? Aliwaambia,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Lakini kuhusu ufufuo wa wafu, hamjasoma kile Mungu alichowaambia, kwamba,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Lakini kuhusu ufufuo wa wafu, hamjasoma kile Mungu alichowaambia, kwamba,

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:31
7 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia, Hamkusoma alivyotenda Daud, alipokuwa na njaa, yeye na wenzi wake;


Kama mngalijua maana ya maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka, hamngaliwalaumu wasio na khatiya.


wakamwambia, Wasikia hawa wanenavyo? Yesu akawaambia, Naam; hamkupata kusoma, Kwa vinywa vya watoto wachanga na wanyonyao umekamilisha sifa?


Yesu akawaambia, Hamkupata kusoma katika maandiko, Jiwe walilolikataa waashi, Hili lilikuwa jiwe kuu la pembeni; Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni ajabu machoni petu?


Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaozwi, bali huwa kama malaika wa Mungu mbinguni.


Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaak, na Mungu wa Yakobo? Mungu si Mungu wa wafu, hali wa wahayi.


Lakini shikeni njia, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka: kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi wapate kutubu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo