Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 22:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaozwi, bali huwa kama malaika wa Mungu mbinguni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Maana wafu watakapofufuka hawataoa wala kuolewa; watakuwa kama malaika mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Maana wafu watakapofufuka hawataoa wala kuolewa; watakuwa kama malaika mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Maana wafu watakapofufuka hawataoa wala kuolewa; watakuwa kama malaika mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Wakati wa ufufuo, watu hawataoa wala kuolewa, bali watakuwa kama malaika wa mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Wakati wa ufufuo, watu hawataoa wala kuolewa, bali watakuwa kama malaika wa mbinguni.

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:30
14 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo wenye haki watangʼaa kama jua katika ufalme wa Baba yao. Mwenye masikio ya kusikilia, na asikie.


Angalieni msidharau mmoja wa wadogo hawa; kwa maana nawaambieni ya kwamba malaika zao mbinguni siku zote wanamtazama uso wa Baba yangu aliye mbinguni.


Tena katika khabari ya kiyama ya wafu, hamjaiisoma neno lililonenwa na Mungu, akisema,


Kwa maana kama vile siku ziie zilizokuwa kabla ya gharika watu walivyokuwa wakila, wakinywa, wakioa, wakioza, hatta siku ile aliyoingia Nuhu katika safina,


Walikuwa wakila, wakinywa, wakioa, wakiozwa, hatta siku ile aliyoingia Nuhu katika safina, gbarika ikafika, ikawaangamiza wote.


Nikaanguka mbele ya miguu yake, nimsujudie, akaniambia, Angalia, usifanye hivi: mimi mjoli wako na mmoja wa ndugu zako walio na ushuhuda wa Yesu. Msujudu Mungu: kwa maana ushuhuda wa Yesu ni roho ya unabii.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo