Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 22:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Yesu akajihu, akawaamhia, Mwajidanganya, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Yesu akawajibu, “Nyinyi mmekosea kwa sababu hamjui Maandiko Matakatifu wala nguvu ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Yesu akawajibu, “Nyinyi mmekosea kwa sababu hamjui Maandiko Matakatifu wala nguvu ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Yesu akawajibu, “Nyinyi mmekosea kwa sababu hamjui Maandiko Matakatifu wala nguvu ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Isa akawajibu, “Mwapotoka kwa sababu hamjui Maandiko wala uweza wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Isa akawajibu, “Mwapotoka kwa sababu hamjui Maandiko wala uweza wa Mungu.

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:29
21 Marejeleo ya Msalaba  

Katika kiyama, hassi, atakuwa mke wa nani katika wale saba? Maana wote walikuwa nae.


Yesu akajibu, akawaambia, Je! Hamjidanganyi kwa sababu hii, kwa kuwa bamyajui maandiko wala uweza wa Mungu?


kwa maana hapana neno lisilowezekana kwa Mungu.


Kwa maana hawajalifahamu andiko bado, kwamba imempasa kufufuka.


Kwa nini limedhaniwa nanyi kuwa neno lisilosadikika, kwamba Mungu awafufua wafu?


Kwa kuwa yote yaliyotangulia kuandikwa yaliandikwa kutufundisha sisi, illi kwa uvumilivu na faraja ya maandiko tupate kuwa na tumaini.


Erevukeui kama ipasavyo, wala insiteude dhambi; kwa maana wengine hawamfahamu Mungu. Ninasema haya niwafedheheshe.


atakaeubadili mwili wetu wa unyonge, upate kufanana na mwili wake wa utukufu, kwa uweza ule awezao kuvitiisha hatta na vitu vyote chini yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo