Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 22:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Katika kiyama, hassi, atakuwa mke wa nani katika wale saba? Maana wote walikuwa nae.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Je, siku wafu watakapofufuka mama huyo atakuwa mke wa nani miongoni mwa wale ndugu saba? Maana wote saba walikuwa wamemwoa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Je, siku wafu watakapofufuka mama huyo atakuwa mke wa nani miongoni mwa wale ndugu saba? Maana wote saba walikuwa wamemwoa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Je, siku wafu watakapofufuka mama huyo atakuwa mke wa nani miongoni mwa wale ndugu saba? Maana wote saba walikuwa wamemwoa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Sasa basi, siku ya ufufuo, yeye atakuwa mke wa nani miongoni mwa wale ndugu saba, kwa kuwa wote walikuwa wamemwoa huyo mwanamke?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Sasa basi, siku ya ufufuo, yeye atakuwa mke wa nani miongoni mwa wale ndugu saba, kwa kuwa wote walikuwa wamemwoa huyo mwanamke?”

Tazama sura Nakili

Mathayo 22:28
2 Marejeleo ya Msalaba  

Mwisho wa wote yule mwanamke akafa nae.

Yesu akajihu, akawaamhia, Mwajidanganya, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo