Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 22:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Vivyo hivyo wa pili nae, na wa tatu, hatta wote saba.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Ikawa vivyo hivyo kwa ndugu wa pili, na wa tatu, mpaka wa saba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Ikawa vivyo hivyo kwa ndugu wa pili, na wa tatu, mpaka wa saba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Ikawa vivyo hivyo kwa ndugu wa pili, na wa tatu, mpaka wa saba.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Ikatokea vivyo hivyo kwa yule ndugu wa pili, na wa tatu, hadi wote saba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Ikatokea vivyo hivyo kwa yule ndugu wa pili, na wa tatu, hadi wote saba.

Tazama sura Nakili

Mathayo 22:26
4 Marejeleo ya Msalaba  

Wakawatuma kwake wanafunzi wao pamoja na Maherodiano, wakanena, Mwalimu, twajua ya kuwa wewe u mtu wa kweli, ua njia va Mungu waifundisha katika kweli, wala hujali cheo cha mtu, kwa maana hutazami sura za watu.

Bassi, kwetu palikuwa na ndugu saba; wa kwanza akaoa, akafariki, na kwa kuwa hana mzao, akamwachia ndugu yake nike wake.

Mwisho wa wote yule mwanamke akafa nae.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo