Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 22:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Siku ile Masadukayo, watu wanenao kwamba hakuna kiyama, wakamwendea, wakamwuliza,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Siku hiyo, baadhi ya Masadukayo wasemao wafu hawafufuki walimwendea Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Siku hiyo, baadhi ya Masadukayo wasemao wafu hawafufuki walimwendea Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Siku hiyo, baadhi ya Masadukayo wasemao wafu hawafufuki walimwendea Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Siku hiyo hiyo Masadukayo, wale wasemao kuwa hakuna ufufuo wa wafu, wakamjia Isa na kumuuliza swali, wakisema,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Siku hiyo hiyo Masadukayo, wale wasemao kwamba hakuna ufufuo wa wafu, wakamjia Isa na kumuuliza swali, wakisema,

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:23
9 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akawaambia, Angalieni, jihadharini na chachu ya Mafarisayo na Masudukayo.


Hatta akiona wengi miongoni mwa Mafarisayo na Masadukayo wakiujia ubatizo wake, akawaambia, Uzao wa nyoka, nani aliyewaonya mkimbie ghadhabu ijayo?


HATTA walipokuwa wakisema na watu wale, makuhani na akida wa hekalu na Masadukayo wakawatokea,


Akaondoka kuhani mkuu na wote waliokuwa pamoja nae (hao ndio walio wa madhehehu ya Masadukayo) wamejaa wivu,


walioikosa kweli, wakisema ya kwamba kiyama imekwisha kuwapo, nao waipindua imani ya watu wengine.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo