Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 22:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Waliposikia, wakataajabu, wakamwacha, wakaenda zao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Waliposikia hivyo wakashangaa; wakamwacha, wakaenda zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Waliposikia hivyo wakashangaa; wakamwacha, wakaenda zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Waliposikia hivyo wakashangaa; wakamwacha, wakaenda zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Waliposikia hili, wakashangaa. Hivyo wakamwacha, wakaenda zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Waliposikia hili, wakashangaa. Hivyo wakamwacha, wakaenda zao.

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:22
10 Marejeleo ya Msalaba  

Angalieni, mimi nawatumeni kama kondoo kati ya mbwa wa mwitu: bassi mwe na busara kama nyoka, na msio na dhara kama hua.


Makutano waliposikia, wakashangaa kwa elimu yake.


Hakuweza mtu kumjibu neno; wala hakuthubutu mtu tangu siku ile kumwuliza neno tena.


Yesu aliposikia haya, akastaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa kama hii, hatta katika Israeli.


Wakatafuta kumkamata, wakaogopa makutano; maana walitambua ya kwamba ule mfano amewanena wao. Wakamwacha wakaenda zao.


Kwa maana mimi nitawapeni kinywa na hekima, ambayo watesi wenu hawataweza kuikana wala kushindana nayo.


lakini hawakuweza kushindana na hekima yake wala na Roho aliyosema nayo.


Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolea chumvi, mpate kujua jinsi iwapasa vyo kumjibu killa mtu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo