Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 22:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Wakamwambia, Ya Kaisari. Akawaambia, Bassi, mlipeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Wakamjibu, “Ni ya Kaisari.” Hapo Yesu akawaambia, “Basi, ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Wakamjibu, “Ni ya Kaisari.” Hapo Yesu akawaambia, “Basi, ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Wakamjibu, “Ni ya Kaisari.” Hapo Yesu akawaambia, “Basi, ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Wakamjibu, “Ni vya Kaisari.” Basi Isa akawaambia, “Mpeni Kaisari kilicho cha Kaisari, naye Mungu mpeni kilicho cha Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Wakamjibu, “Ni vya Kaisari.” Basi Isa akawaambia, “Mpeni Kaisari kilicho cha Kaisari, naye Mungu mpeni kilicho cha Mungu.”

Tazama sura Nakili

Mathayo 22:21
17 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia, Ya nani sanamu hii, na anwani hii?

Yesu akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote.

Ndipo Yesu akamwambia, Nenda zako, Shetani: kwa maana imeandikwa, Utamsujudia Bwana Mungu wako, nae peke yake utamwabudu.

Wakamwambia, Ya Kaisari. Yesu akajibu, akawaambia, Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu. Wakamtaajahia sana.

Akawaambia, Bassi, mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu.

Wakaanza kumshitaki, wakisema, Tumemwona mtu huyu amipotosha taifa letu, anawakataza watu wasimpe Kaisari kodi, akisema ya kwamba yeye mwenyewe yu Kristo, mfalme.

Petro na Yohana wakawajibu wakawaambia,

Petro na mitume wakajibu, wakaaena, Imetupasa kumtii Mungu kuliko wana Adamu.

Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru: astahiliye khofu, khofu; astahiliye heshima, heshima.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo