Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 22:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Akawaambia, Ya nani sanamu hii, na anwani hii?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Basi, Yesu akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Basi, Yesu akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Basi, Yesu akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Naye akawauliza, “Sura hii ni ya nani? Na maandishi haya ni ya nani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Naye akawauliza, “Sura hii ni ya nani? Na maandishi haya ni ya nani?”

Tazama sura Nakili

Mathayo 22:20
4 Marejeleo ya Msalaba  

Nionyesheni fedha ya kodi. Nao wakamletea dinari.

Wakamwambia, Ya Kaisari. Akawaambia, Bassi, mlipeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu.

Akawaambia, Ya nani sanamu hii na anwani hii?

Nionyesheni dinari: ina sura ya nani? ina anwaui ya nani? Wakasema, ya Kaisari.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo