Mathayo 22:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19212 Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyemfanyia mwana wake arusi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 “Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme aliyemwandalia mwanawe karamu ya harusi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 “Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme aliyemwandalia mwanawe karamu ya harusi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 “Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme aliyemwandalia mwanawe karamu ya harusi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 “Ufalme wa mbinguni unaweza kufananishwa na mfalme mmoja aliyemwandalia mwanawe karamu ya arusi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 “Ufalme wa Mbinguni unaweza kufananishwa na mfalme mmoja aliyemwandalia mwanawe karamu ya arusi. Tazama sura |