Mathayo 22:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192119 Nionyesheni fedha ya kodi. Nao wakamletea dinari. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Nionesheni fedha ya kulipia kodi.” Nao wakamtolea sarafu ya fedha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Nionesheni fedha ya kulipia kodi.” Nao wakamtolea sarafu ya fedha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Nionesheni fedha ya kulipia kodi.” Nao wakamtolea sarafu ya fedha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Nionesheni hiyo sarafu inayotumika kwa kulipia kodi.” Wakamletea dinari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Nionyesheni hiyo sarafu inayotumika kwa kulipia kodi.” Wakamletea dinari. Tazama sura |