Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 22:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Lakini Yesu akaufahamu uovu wao, akasema, Mbona mnanijaribu, enyi wanafiki?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Lakini Yesu alitambua uovu wao, akawaambia, “Enyi wanafiki mbona mnanijaribu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Lakini Yesu alitambua uovu wao, akawaambia, “Enyi wanafiki mbona mnanijaribu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Lakini Yesu alitambua uovu wao, akawaambia, “Enyi wanafiki mbona mnanijaribu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Lakini Isa alifahamu kusudi lao mbaya, akawaambia, “Enyi wanafiki, kwa nini mnajaribu kunitega?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Lakini Isa, akijua makusudi yao mabaya, akawaambia, “Enyi wanafiki, kwa nini mnajaribu kunitega?

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:18
15 Marejeleo ya Msalaba  

Nae Yesu akijua haya akatoka huko: makutano mengi wakamfuata; akawaponya wote,


Mafarisayo wakamwendea, wakamjaribu, wakimwambia, Je, ni halali mtu kumwacha mkewe kwa killa sababu?


Bassi utuambie, Waonaje? Ni halali kumpa Kaisari kodi, au si halali?


Nionyesheni fedha ya kodi. Nao wakamletea dinari.


Akamtuma mwingine, huyo wakamwua; na wengine wengi, wakiwapiga hawa, na wakiwana hawa.


Marra Yesu akafahamu rohoni mwake kama wanafikiri hivi nafsini mwao, akawaambia, Mbona mnafikiri hivi mioyoni mwenu?


Mwana sharia mmoja akasimama akimjaribu, akasema, Mwalimu, nifanyeni niurithi uzima wa milele?


Lakini akatambua ujanja wao, akawaambia,


Yesu akafahamu fikara zao akajibu, akawaambia, Mnafikiri nini mioyoni mwenu?


Nae Yesu alipoona mawazo ya mioyo yao, akatwaa kitoto akamweka karibu yake,


na kwa sababu hakuwa na haja ya watu kushuhudia khabari za niwana Adamu; kwa maana yeye mwenyewe alijua yaliyomo ndani ya mwana Adamu.


Wakasema neno hili wakimjaribu wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika inchi.


Petro akamwambia, Hikuwaje hatta mkapatana kumjaribu Roho ya Bwana? angalia, miguu yao waliomzika mume wako ipo mlangoni, nao watakuchukua wewe nawe.


nami nitawaua watoto wake kwa manti. Na makanisa yote watajua ya kuwa mimi ndiye achunguzae viuno na mioyo. Nami nitampa killa mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo