Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 22:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Bassi utuambie, Waonaje? Ni halali kumpa Kaisari kodi, au si halali?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Haya, tuambie maoni yako. Je, ni halali au la, kulipa kodi kwa Kaisari?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Haya, tuambie maoni yako. Je, ni halali au la, kulipa kodi kwa Kaisari?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Haya, tuambie maoni yako. Je, ni halali au la, kulipa kodi kwa Kaisari?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Tuambie basi, wewe unaonaje? Je, ni halali kulipa kodi kwa Kaisari, au la?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Tuambie basi, wewe unaonaje? Je, ni halali kulipa kodi kwa Kaisari, au la?”

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:17
18 Marejeleo ya Msalaba  

Akanena, Hutoa. Nae alipoingia nyumbani, Yesu akatangulia kumwuliza, akinena, Waonaje, Simon? Wafalme wa dunia hutwaa kodi ama ushuru kwa watu gani? kwa wana wao au kwa wageni?


Lakini Yesu akaufahamu uovu wao, akasema, Mbona mnanijaribu, enyi wanafiki?


HATTA siku zile kulitoka amri kwa Kaisari Augusto ya kama iandikwe orodha ya majina ya walimwengu wote:


Je! ni halali kumpa Kaisari kodi au sivyo?


HATTA katika mwaka wa kumi na tano wa kutawala kwake Tiberio Kaisari, Pontio Pilato alipokuwa liwali wa Yahudi, na Herode tetrarka wa Galilaya, na Filipo ndugu yake tetrarka wa Iturea, na wa inchi ya Trakoniti, na Lusania tetrarka wa Abilene,


Yason akawakaribisha; na hawa wote wanatenda mambo yaliyo kinyume cha amri za Kaisari, wakisema ya kwamba yupo mfalme mwingine, aitwae Yesu.


Paolo akajitetea hivi, ya kama, Mimi sikukosa neno juu ya sharia ya Wayahudi, wiila juu ya hekalu wala juu ya Kaisari.


Lakini tunataka kusikia kwako uonavyo wewe; kwa maana katika khabari za madhehebu hiyo tumekwisha kujua kwamba inanenwa vibaya kilia mahali.


Baada ya mtu huyo aliondoka Yuda Mgalilaya, siku zile za kuandikiwa kodi, akawavuta watu kadha wa kadha nyuma yake, nae akapotea na wote waliomsadiki wakatawanyika.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo