Mathayo 22:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192115 Ndipo Mafarisayo wakaenda zao, wakafauya shauri, jinsi ya kumtega kwa maneno. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Kisha, Mafarisayo wakaenda zao, wakashauriana jinsi ya kumnasa Yesu kwa maneno yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Kisha, Mafarisayo wakaenda zao, wakashauriana jinsi ya kumnasa Yesu kwa maneno yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Kisha, Mafarisayo wakaenda zao, wakashauriana jinsi ya kumnasa Yesu kwa maneno yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Ndipo Mafarisayo wakatoka nje wakaandaa mpango wa kumtega Isa katika maneno yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Ndipo Mafarisayo wakatoka nje wakaandaa mpango wa kumtega Isa katika maneno yake. Tazama sura |