Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 22:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Kwa maana wengi waitwao, wateule wachache.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Yesu akamaliza kwa kusema, “Wengi wamealikwa, lakini wachache wameteuliwa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Yesu akamaliza kwa kusema, “Wengi wamealikwa, lakini wachache wameteuliwa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Yesu akamaliza kwa kusema, “Wengi wamealikwa, lakini wachache wameteuliwa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 “Kwa maana walioitwa ni wengi, lakini walioteuliwa ni wachache.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 “Kwa maana walioitwa ni wengi, lakini walioteuliwa ni wachache.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 22:14
7 Marejeleo ya Msalaba  

Vivyo hivyo wa mwisho watakuwa wa kwanza, na wa kwanza wa mwisho: maana waitwao wengi, hali wateule wachache.


Na kama siku zile zisingalikatizwa, asingeokoka mtu ye yote; lakini kwa ajili ya wateule zitakatizwa siku zile.


Kwa maana wataondoka Makristo ya uwongo, na manabii ya uwongo, nao watafanyiza ishara kubwa ua mataajabu; wapate kuwadanganya, kama yumkini, hatta wateule.


Kwa hivo ndugu, jitahidini zaidi kufanya imara wito wenu na uteule wenu; maana mkitenda hayo hamtajikwaa kamwe.


Hawa watafanya vita na Mwana kondoo, na Mwana kondoo atawashinda, kwa maana ni Bwana wa Mabwana, na Mfalme wa Wafalme; nao walioitwa wateule, waaminifu, watashinda pamoja nae.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo