Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 22:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Akamwambia, Rafiki, uliingiaje humu nawe huna vazi la arusi? Akatekewa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Mfalme akamwuliza, ‘Rafiki, umeingiaje hapa bila vazi la harusi?’ Lakini yeye akakaa kimya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Mfalme akamwuliza, ‘Rafiki, umeingiaje hapa bila vazi la harusi?’ Lakini yeye akakaa kimya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Mfalme akamwuliza, ‘Rafiki, umeingiaje hapa bila vazi la harusi?’ Lakini yeye akakaa kimya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Mfalme akamuuliza, ‘Rafiki, uliingiaje humu bila vazi la arusi?’ Yule mtu hakuwa na la kusema.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Mfalme akamuuliza, ‘Rafiki, uliingiaje humu bila vazi la arusi?’ Yule mtu hakuwa na la kusema.

Tazama sura Nakili

Mathayo 22:12
13 Marejeleo ya Msalaba  

Nae akamjibu mmoja wao, akamwambia, Rafiki, sikudhulumu; hukupatana nami kwa dinari?

Yesu akamwambia, Rafiki, umejia nini? Wakaenda, wakanyosha mikono yao wakamkamata Yesu.

Maana nawaambieni, Haki yenu isipozidi kuliko haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.

Twajua ya kuwa mambo yote yasemwayo na torati huyanena kwa hao walio chini ya torati, illi killa kinywa kifumbwe, ulimwengu wote ukapasiwe na hukumu ya Mungu:

Bassi msihukumu neno kabla ya wakati wake, mpaka ajapo Bwana; nae atayamulika yaliyosetirika ya giza, na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo; ndipo killa mtu atakapoipata sifa yake kwa Mungu.

ukijua ya kuwa mtu kama huyu amegeukia mbali, tena afanya dhambi, amejihukumu nafsi yake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo