Mathayo 21:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Watu wengi katika makutano wakatandaza nguo zao njiani; wengine wakikata matawi ya miti, wakiyatandaza njiani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Umati mkubwa wa watu wakatandaza nguo zao barabarani, na watu wengine wakakata matawi ya miti wakayatandaza barabarani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Umati mkubwa wa watu wakatandaza nguo zao barabarani, na watu wengine wakakata matawi ya miti wakayatandaza barabarani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Umati mkubwa wa watu wakatandaza nguo zao barabarani, na watu wengine wakakata matawi ya miti wakayatandaza barabarani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Umati mkubwa wa watu wakatandaza mavazi yao barabarani, na wengine wakakata matawi kwenye miti, wakayatandaza barabarani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Umati mkubwa wa watu ukatandaza mavazi yao barabarani, na wengine wakakata matawi kutoka kwenye miti, wakayatandaza barabarani. Tazama sura |