Mathayo 21:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19217 wakamleta yule punda na mwana punda, wakaweka nguo zao juu yao, wakamketisha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Wakamleta yule punda na mtoto wake, wakatandika nguo zao juu yao na Yesu akaketi juu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Wakamleta yule punda na mtoto wake, wakatandika nguo zao juu yao na Yesu akaketi juu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Wakamleta yule punda na mtoto wake, wakatandika nguo zao juu yao na Yesu akaketi juu yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Wakamleta yule punda na mwana-punda, nao wakatandika mavazi yao juu ya hao punda, naye Isa akaketi juu yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Wakamleta yule punda na mwana-punda, nao wakatandika mavazi yao juu ya hao punda, naye Isa akaketi juu yake. Tazama sura |