Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 21:45 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

45 Makuhani wakuu na Mafarisayo, waliposikia mifano yake, wakatambua ya kuwa anawanena wao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

45 Makuhani wakuu na Mafarisayo waliposikia hiyo mifano yake walitambua kwamba alikuwa anawasema wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

45 Makuhani wakuu na Mafarisayo waliposikia hiyo mifano yake walitambua kwamba alikuwa anawasema wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

45 Makuhani wakuu na Mafarisayo waliposikia hiyo mifano yake walitambua kwamba alikuwa anawasema wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

45 Viongozi wa makuhani na Mafarisayo waliposikia mifano ya Isa, walitambua kuwa alikuwa akiwasema wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

45 Viongozi wa Makuhani na Mafarisayo waliposikia mifano ya Isa, walitambua kuwa alikuwa akiwasema wao.

Tazama sura Nakili




Mathayo 21:45
6 Marejeleo ya Msalaba  

Je! mtu si hora sana kuliko kondoo? Bassi ni halali kutenda mema siku ya sabato.


Akasema nao mengi kwa mifano, akinena, Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu.


Nae aangukiae juu ya jiwe hili atavunjikavunjika: nae amhae litamwangukia, litampondaponda.


Nao walipotafuta kumkamata, wakawaogopa makutano, kwa maana walimwona kuwa nabii.


Mtu mmoja katika wana sharia akajibu, akamwambia, Mwalimu, ukisema haya watushutumu sisi nasi.


Makuhani wakuu na waandishi wakatafuta kumkamata saa hiyo hiyo, wakawaogopa watu: maana walitambua ya kuwa ule mfano amewanena wao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo