Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 21:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

40 Bassi atakapokuja yule bwana wa mizabibu, atawatendea nini wale wakulima?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 “Sasa, huyo mwenye shamba la mizabibu atakapokuja, atawafanyaje hao wakulima?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 “Sasa, huyo mwenye shamba la mizabibu atakapokuja, atawafanyaje hao wakulima?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 “Sasa, huyo mwenye shamba la mizabibu atakapokuja, atawafanyaje hao wakulima?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 “Basi huyo mwenye shamba la mizabibu atakapokuja, atawafanyia nini hao wakulima?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 “Kwa hiyo, huyo mwenye shamba la mizabibu atakapokuja, atawafanyia nini hao wakulima?”

Tazama sura Nakili




Mathayo 21:40
7 Marejeleo ya Msalaba  

Wakati wa matunda ulipokuwa karibu, akawatuma watumishi wake kwa wale wakulima, wajiokee matunda yake.


Wakamkamata, wakamtupa uje ya shamba la mizabibu, wakamwua.


Wakamwambia, Atawaangamiza wabaya wale; nae atawapangisha mizabibu wakulima wengine, watakaomlipa matunda kwa wakati wake.


Bassi atafanyani yule Bwana wa mizabibu? Atakuja na kuwaangamiza wale wakulima, na lile shamba la mizabibu atawapa watu wengine.


Mwaonaje? Haikumpasa adhabu iliyo kubwa zaidi mtu yule aliyemkanyaga Mwana wa Mungu, na kuihesabu damu ya agano aliyotakaswa nayo kuwa ni kitu ovyo, na kumfanyia jeuri Roho ya neema?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo