Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 21:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

37 Baadae akamtuma mwanawe kwao, akinena, Mwana wangu watamjali.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Mwishowe akamtuma mwanawe huku akifikiri: ‘Watamjali mwanangu.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Mwishowe akamtuma mwanawe huku akifikiri: ‘Watamjali mwanangu.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Mwishowe akamtuma mwanawe huku akifikiri: ‘Watamjali mwanangu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Mwisho wa yote, akamtuma mwanawe kwao, akisema, ‘Watamheshimu mwanangu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Mwisho wa yote, akamtuma mwanawe kwao, akisema, ‘Watamheshimu mwanangu.’

Tazama sura Nakili




Mathayo 21:37
13 Marejeleo ya Msalaba  

Akatuma tena watumishi wengine wengi kuliko wa kwanza, wakawatenda vilevile.


Lakini wale wakulima walipomwona yule mwana wakasemezana wao kwa wao, Huyu ni mrithi; haya na tumwue, tuutwae urithi wake.


na sauti toka mbinguni ikinena, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninaependezwa nae.


Bassi alikuwa na mwana mmoja bado, mpendwa wake; huyu nae akamtuma kwao wa mwisho, akinena, Watamjali mwana wangu.


Yule Bwana wa mizabibu akasema, Nifanyeje? Nitampeleka mwana wangu, mpendwa wangu, labuda wakimwona yeye watamheshimu.


Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote, Mwana wa pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyefasiri khabari yake.


Nami nimeona, tena nimeshuhudia ya kuwa huyu ni Mwana wa Mungu.


Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hatta akampeleka Mwana wake wa pekee, illi mtu aliye yote amwaminiye asipotee, bali apate uzima wa milele.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo