Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 21:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 Akatuma tena watumishi wengine wengi kuliko wa kwanza, wakawatenda vilevile.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Huyo mtu akawatuma tena watumishi wengine, wengi kuliko wa safari ya kwanza. Wale wakulima wakawatendea namna ileile.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Huyo mtu akawatuma tena watumishi wengine, wengi kuliko wa safari ya kwanza. Wale wakulima wakawatendea namna ileile.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Huyo mtu akawatuma tena watumishi wengine, wengi kuliko wa safari ya kwanza. Wale wakulima wakawatendea namna ileile.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Kisha akawatuma watumishi wengine kwao, wengi kuliko wale wa kwanza, nao wale wapangaji wakawatendea vilevile.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Kisha akawatuma kwao watumishi wengine, wengi kuliko wale wa kwanza, nao wale wapangaji wakawatendea vilevile.

Tazama sura Nakili

Mathayo 21:36
4 Marejeleo ya Msalaba  

Wale wakulima wakawakamata watumishi wake, huyu wakampiga, na mwingine wakamwua, na mwingine wakampiga mawe.

Baadae akamtuma mwanawe kwao, akinena, Mwana wangu watamjali.

Akatuma tena watumishi wengine, akinena, Waambieni wale walioalikwa, Tʼazameni nimeandaa karamu yangu: ngʼombe na vinono vimekwisha kuehinjwa, na vyote vimekuwa tayari, njoni arusini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo