Mathayo 21:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192135 Wale wakulima wakawakamata watumishi wake, huyu wakampiga, na mwingine wakamwua, na mwingine wakampiga mawe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Wale wakulima wakawakamata hao watumishi; mmoja wakampiga, mwingine wakamuua na mwingine wakampiga mawe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Wale wakulima wakawakamata hao watumishi; mmoja wakampiga, mwingine wakamuua na mwingine wakampiga mawe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Wale wakulima wakawakamata hao watumishi; mmoja wakampiga, mwingine wakamuua na mwingine wakampiga mawe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 “Wale wapangaji wakawakamata wale watumishi, wakampiga mmoja, wakamuua mwingine, na yule wa tatu wakampiga mawe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 “Wale wapangaji wakawakamata wale watumishi, wakampiga mmoja, wakamuua mwingine, na yule wa tatu wakampiga mawe. Tazama sura |