Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 21:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

32 Kwa sababu Yohana alikuja kwenu kwa njia ya haki, nanyi hamkumwamini; lakini watoza ushuru na makahaha walimwamini: nanyi mlipoona, hamkutuhu haada ya haya, na kumwamini.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Maana Yohane alikuja kwenu akawaonesha njia adili ya kuishi, nanyi hamkumwamini; lakini watozaushuru na waasherati walimwamini. Hata baada ya kuona hayo yote nyinyi hamkutubu na kumsadiki.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Maana Yohane alikuja kwenu akawaonesha njia adili ya kuishi, nanyi hamkumwamini; lakini watozaushuru na waasherati walimwamini. Hata baada ya kuona hayo yote nyinyi hamkutubu na kumsadiki.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Maana Yohane alikuja kwenu akawaonesha njia adili ya kuishi, nanyi hamkumwamini; lakini watozaushuru na waasherati walimwamini. Hata baada ya kuona hayo yote nyinyi hamkutubu na kumsadiki.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Kwa maana Yahya alikuja kwenu kuwaonesha njia ya haki, lakini hamkumsadiki, lakini watoza ushuru na makahaba wakamsadiki. Nanyi hata mlipoona hayo, baadaye hamkutubu na kumsadiki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Kwa maana Yahya alikuja kwenu kuwaonyesha njia ya haki, lakini hamkumsadiki, lakini watoza ushuru na makahaba wakamsadiki. Nanyi hata mlipoona hayo, baadaye hamkutubu na kumsadiki.”

Tazama sura Nakili

Mathayo 21:32
19 Marejeleo ya Msalaba  

Maana Yohana alikuja, hali wala hanywi, wakanena. Yuna pepo.

Ubatizo wa Yohana ulitoka wapi? Ulitoka mbinguni, au kwa wana Adamu? Wakasemezana wao kwa wao, wakinena, Tukisema, Ulitoka mbinguni; atatuambia, Mbona bassi hamkumwamini?

Katika hawa wawili ni yupi aliyefanya mapenzi ya baba yake? Wakamwambia, Yule wa kwanza. Yesu akawaambia, Amin, nawaambieni, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.

Maana mkiwapenda wanaowapendani, mwapata thawabu gani? Hatta watoza ushuru, je, nao hawafanyi yayo hayo?

akiwaonya kwai npole washindanao nae, illi, kama ikiwezekana, Mungu awape kutubu na ujuzi wa kweli,

Angalieni, ndugu zangu, usiwe katika mmoja wenu moyo mbovu wa kutokuamini, kwa kujitenga na Mungu aliye hayi.

Maana ingekuwa kheri kama wasingaliijua njia ya haki, kuliko kuijua ile amri takatifu waliyopewa na kuiacha.

Nami nimempa muda illi atubu uzinzi wake, nae bataki kutubu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo