Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 21:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Ubatizo wa Yohana ulitoka wapi? Ulitoka mbinguni, au kwa wana Adamu? Wakasemezana wao kwa wao, wakinena, Tukisema, Ulitoka mbinguni; atatuambia, Mbona bassi hamkumwamini?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Je, mamlaka ya Yohane ya kubatiza yalitoka kwa nani? Je, yalitoka mbinguni ama kwa watu?” Lakini wakajadiliana wao kwa wao hivi: “Tukisema, ‘Yalitoka mbinguni,’ atatuuliza, ‘Basi, mbona hamkumsadiki?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Je, mamlaka ya Yohane ya kubatiza yalitoka kwa nani? Je, yalitoka mbinguni ama kwa watu?” Lakini wakajadiliana wao kwa wao hivi: “Tukisema, ‘Yalitoka mbinguni,’ atatuuliza, ‘Basi, mbona hamkumsadiki?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Je, mamlaka ya Yohane ya kubatiza yalitoka kwa nani? Je, yalitoka mbinguni ama kwa watu?” Lakini wakajadiliana wao kwa wao hivi: “Tukisema, ‘Yalitoka mbinguni,’ atatuuliza, ‘Basi, mbona hamkumsadiki?’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Je, ubatizo wa Yahya ulitoka wapi? Ulitoka mbinguni au kwa wanadamu?” Wakahojiana wao kwa wao na kusema, “Tukisema, ‘Ulitoka mbinguni,’ atatuuliza, ‘Mbona basi hamkumwamini?’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Ubatizo wa Yahya, ulitoka wapi? Je, ulitoka mbinguni au kwa wanadamu?” Wakahojiana wao kwa wao na kusema, “Tukisema ulitoka mbinguni atatuuliza, ‘Mbona basi hamkumwamini?’

Tazama sura Nakili

Mathayo 21:25
24 Marejeleo ya Msalaba  

Wakabishana wao kwa wao, wakinena, Ni kwa sababu hatukuchukua mikate.

Yesu akajibu, akawaambia, Nami nitawaulizeni neno moja; mkinijibu, nami nitawaambieni, kwa mamlaka gani ninafanya haya.

Na tukisema, Kwa wana Adamu; twaogopa makutano; maana watu wote wanaona ya kuwa Yohana ni nabii.

Akamtwaa, akamponya, akamrukhusu.

Wakasemezana wao kwa wao, wakinena, Kama tukisema, Toka mbinguni, atasema, Mbona hamkumwamini bassi?

Yohana akamshuhudia, akapaaza sauti yake, akinena, Huyu ndiye niliyemnena khabari zake, kwamba, Ajae nyuma yangu amekuwa mbele yangu; kwa maana alikuwa kabla yangu.

Palitokea mtu ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana.

Amwaminiye hahukumiwi; asiyemwamini amekwisha kuhukumiwa, kwa maana hakuliamini jina la Mwana wa pekee wa Mungu.

katika neno lo lote inalotuhukumu mioyo yetu; kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mioyo yetu nae anajua yote.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo