Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 21:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Hatta alipokwisha kuingia hekaluni, makuhani wakuu na wazee wa watu wakamwendea alipokuwa akifundisha, wakinena, Kwa mamlaka gani unafanya haya? Na nani aliyekupa mamlaka haya?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Yesu aliingia hekaluni, akawa anafundisha. Alipokuwa akifundisha, makuhani wakuu na wazee wa watu wakamwuliza, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Nani amekupa mamlaka haya?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Yesu aliingia hekaluni, akawa anafundisha. Alipokuwa akifundisha, makuhani wakuu na wazee wa watu wakamwuliza, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Nani amekupa mamlaka haya?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Yesu aliingia hekaluni, akawa anafundisha. Alipokuwa akifundisha, makuhani wakuu na wazee wa watu wakamwuliza, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Nani amekupa mamlaka haya?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Isa alipoingia Hekaluni, viongozi wa makuhani na wazee wa watu wakamjia alipokuwa anafundisha, wakamuuliza, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Na ni nani aliyekupa mamlaka haya?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Isa alipoingia Hekaluni, viongozi wa makuhani na wazee wa watu wakamjia alipokuwa anafundisha na kusema, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Na ni nani aliyekupa mamlaka hayo?”

Tazama sura Nakili




Mathayo 21:23
12 Marejeleo ya Msalaba  

na hawo nao akawaambia, Enendeni nanyi katika shamba langu la mizabibu, na iliyo liaki nitakupeni. Wakaenda.


Yesu akajibu, akawaambia, Nami nitawaulizeni neno moja; mkinijibu, nami nitawaambieni, kwa mamlaka gani ninafanya haya.


YESU akaenda zake, akatoka hekaluni; wanafunzi wake wakamwendea illi kumwonyesha majengo ya hekalu.


Saa ile Yesu akawaambia makutano, Je, mmetoka, mfano wa watu wafukuzao mnyangʼanyi mna panga na marungu, kunitwaa? Killa siku naliketi mbele zenu hekaluni, nikifundisha, wala hamkunikamata.


Akawa akifundisha killa siku hekaluni, makuhani wakuu na waandishi na wakubwa wa watu wakatafuta kumwangamiza,


IKAWA siku moja, alipokuwa akiwafundisha watu hekaluni na kuikhubiri Injili, makuhani wakuu na waandishi, na pamoja nao wazee, wakamtokea ghafula,


Wakawaweka katikati, wakawauliza, Kwa nguvu gani na kwa jina la nani mmefanya haya ninyi?


Lakini yeye aliyemdhulumu mwenziwe akamsukumia mbali, akisema, Ni nani aliyekuweka kuwa mkuu wetu, na mwamuzi wetu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo