Mathayo 21:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19212 akiwaambia, Enendeni zenu hatta kijiji kile kinachowakabili, na marra mtaona punda amefungwa, na mwana punda pamoja nae: mfungueni mkaniletee. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 akawaambia, “Nendeni hadi kijiji kilicho mbele yenu na mtamkuta punda amefungwa na mtoto wake. Wafungueni mkawalete kwangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 akawaambia, “Nendeni hadi kijiji kilicho mbele yenu na mtamkuta punda amefungwa na mtoto wake. Wafungueni mkawalete kwangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 akawaambia, “Nendeni hadi kijiji kilicho mbele yenu na mtamkuta punda amefungwa na mtoto wake. Wafungueni mkawalete kwangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 akawaambia, “Nendeni katika kijiji kilicho mbele yenu, nanyi mtampata punda amefungwa hapo, na mwana-punda pamoja naye. Wafungueni na mniletee. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 akawaambia, “Nendeni katika kijiji kilichoko mbele yenu, nanyi mtamkuta punda amefungwa hapo, na mwana-punda pamoja naye. Wafungueni na mniletee. Tazama sura |