Mathayo 21:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192118 Hatta assubuhi alipokuwa akirudi mjini, akashikwa na njaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Yesu alipokuwa anarudi mjini asubuhi na mapema, aliona njaa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Yesu alipokuwa anarudi mjini asubuhi na mapema, aliona njaa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Yesu alipokuwa anarudi mjini asubuhi na mapema, aliona njaa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Asubuhi na mapema, Isa alipokuwa akirudi mjini, alikuwa na njaa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Asubuhi na mapema, Isa alipokuwa akirudi mjini, alikuwa na njaa. Tazama sura |