Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 21:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 akawaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itakwitwa nyumba ya sala; bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyangʼanyi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Akawaambia, “Imeandikwa katika Maandiko Matakatifu: ‘Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala.’ Lakini nyinyi mmeifanya kuwa pango la wanyanganyi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Akawaambia, “Imeandikwa katika Maandiko Matakatifu: ‘Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala.’ Lakini nyinyi mmeifanya kuwa pango la wanyanganyi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Akawaambia, “Imeandikwa katika Maandiko Matakatifu: ‘Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala.’ Lakini nyinyi mmeifanya kuwa pango la wanyang'anyi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Akawaambia, “Imeandikwa, ‘Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala,’ lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Akawaambia, “Imeandikwa, ‘Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala,’ lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyang’anyi.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 21:13
8 Marejeleo ya Msalaba  

Nao wakamwambia, Katika Bethlehemu ya Yahudi; kwa maana ndivyo ilivyoandikwa na nabii,


Akafundisha, akiwaambia, Haikuandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote? Bali nanyi mmeifanya kuwa pango ya wanyangʼanyi.


Akaingia hekaluni, akaanza kuwatoa wakuzao na wanunuao ndani yake; akiwaambia,


Imeandikwa, Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala; bali ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyangʼanyi.


Lakini litimie neno lililoandikwa katika sharia yao, Walinichukia burre.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo