Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 21:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Hatta alipoingia Yerusalenn, mji wote ukataharuki, nkinena, Ni nani huyu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Yesu alipokuwa anaingia Yerusalemu, mji wote ukajaa ghasia. Watu wakawa wanauliza, “Huyu ni nani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Yesu alipokuwa anaingia Yerusalemu, mji wote ukajaa ghasia. Watu wakawa wanauliza, “Huyu ni nani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Yesu alipokuwa anaingia Yerusalemu, mji wote ukajaa ghasia. Watu wakawa wanauliza, “Huyu ni nani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Isa alipoingia Yerusalemu, mji wote ukataharuki, watu wakauliza, “Huyu ni nani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Isa alipoingia Yerusalemu, mji wote ukataharuki, watu wakauliza, “Huyu ni nani?”

Tazama sura Nakili




Mathayo 21:10
14 Marejeleo ya Msalaba  

Mfalme Herode aliposikia haya, akafadhaika, na Yerusalemi pia pamoja nae.


Makutano wakanena, Huyu ni Yesu, yule nabii wa Nazareti ya Galilaya.


Na makutano waliotangulia, na waliofuata, wakapaaza sauti zao, wakinena, Utuokoe sasa, Mwana wa Daud; amebarikiwa ajae kwa jina la Bwana; Utuokoe sasa wewe uliye juu.


wakasema nae, wakinena, Kwa mamlaka gani unatenda haya? Na ni nani aliyekupa mamlaka hii?


Wale waandishi na Mafarisayo wakaanza kutafakari wakanena, Nani huyu anaesema kufuru? Nani awezae kuondoa dhambi, isipokuwa mmoja ndiye Mungu?


Na wale walioketi pamoja nae wakaanza kusema ndani ya mioyo yao, Nani huyu hatta akasamehe dhambi?


Herode akasema, Yohana nimemkata kichwa: bassi, nani huyu ambae ninasikia khabari zake za namna hii? Akatafuta kumwona.


Bassi Wayahudi wakajibu wakamwambia, Ishara gani utuonyeshayo, iwapo unafanya haya?


Akasema, U nani Bwana? Akasema, Mimi ndimi Yesu unaeniudhi wewe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo