Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 20:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Walipokuja wale wa saa edashara, wakapokea killa mtu dinari.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Basi, wakaja wale walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakapokea kila mmoja fedha dinari moja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Basi, wakaja wale walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakapokea kila mmoja fedha dinari moja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Basi, wakaja wale walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakapokea kila mmoja fedha dinari moja.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 “Wale vibarua walioajiriwa saa kumi na moja wakaja, na kila mmoja wao akapokea dinari moja.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 “Wale vibarua walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakaja na kila mmoja wao akapokea dinari moja.

Tazama sura Nakili




Mathayo 20:9
10 Marejeleo ya Msalaba  

Na wale wa kwanza walipokuja, wakadhani watapokea zaidi; na wao pia wakapokea killa mtu dinari.


Na alipokwisha kupatana na wakulima kuwapa kutwa dinari, akawapeleka katika shamba lake la mizabibu.


Kulipokuchwa, yule bwana wa mizabibu akamwambia msimamizi wake, Waite wakulima, uwalipe ijara yao, ukianzia wa mwisho hatta wa kwanza.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo