Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 20:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

32 Yesu akasimama, akawaita, akasema, Mnataka niwafanyie nini?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Yesu akasimama, akawaita na kuwauliza, “Mnataka niwafanyie nini?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Yesu akasimama, akawaita na kuwauliza, “Mnataka niwafanyie nini?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Yesu akasimama, akawaita na kuwauliza, “Mnataka niwafanyie nini?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Isa akasimama na kuwaita, akawauliza, “Mnataka niwafanyie nini?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Isa akasimama na kuwaita, akawauliza, “Mnataka niwafanyie nini?”

Tazama sura Nakili




Mathayo 20:32
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwambia, Wataka nini? Akamwambia, Agiza hawa wanangu waketi mmoja mkono wako wa kunme; na mmoja mkono wako wa kushoto, katika ufalme wako.


Makutano wakawakaripia, wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaaza sauti zao, wakinena, Uturehemu, Ee Bwana, mwana wa Daud!


Wakamwambia, Bwana, macho yetu yafumbuliwe.


Kwa sababu hiyo naiikuja nilipoitwa nisikatae; hassi nauliza, ni neno gani mliloniitia?


Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika killa neno kwa kusali na kuomba pamoja na kushukuru haja zenu zijulike kwa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo