Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 20:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 Makutano wakawakaripia, wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaaza sauti zao, wakinena, Uturehemu, Ee Bwana, mwana wa Daud!

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Ule umati wa watu ukawakemea na kuwaambia wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaza sauti: “Bwana, Mwana wa Daudi, utuhurumie!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Ule umati wa watu ukawakemea na kuwaambia wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaza sauti: “Bwana, Mwana wa Daudi, utuhurumie!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Ule umati wa watu ukawakemea na kuwaambia wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaza sauti: “Bwana, Mwana wa Daudi, utuhurumie!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Umati wa watu wakawakemea na kuwaambia wanyamaze, lakini wao wakazidi kupaza sauti wakisema, “Bwana Isa, Mwana wa Daudi, tuhurumie.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Ule umati wa watu ukawakemea na kuwaambia wanyamaze, lakini wao wakazidi kupaza sauti, wakisema, “Bwana Isa, Mwana wa Daudi, tuhurumie.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 20:31
12 Marejeleo ya Msalaba  

Nae hakumjibu neno. Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakinena. Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu.


Ndipo akaletewa vitoto aweke mikono yake juu yao na kuwaombea; wanafunzi wake wakawakemea.


Na vipofu wawili wameketi kando ya njia, nao waliposikia ya kwamba Yesu anapita, wakapaaza sauti zao, wakinena, Uturehemu, Ee Bwana, mwana wa Daud!


Yesu akasimama, akawaita, akasema, Mnataka niwafanyie nini?


Yesu alipokuwa anaondoka kutoka huko, vipofu wawili wakamfuata wakipaaza sauti, wakinena. Uturehemu, Ee mwana wa Daud.


Bassi, waliotangulia wakamkemea, anyamaze; lakini yeye akazidi sana kupiga makelele, Mwana wa Daud, unirehemu.


Dumuni sana katika kuomba, mkikesha katika kuomba huku na shukrani,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo