Mathayo 20:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19213 Akatoka muamo saa tatu, akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Akatoka mnamo saa tatu asubuhi, akaona watu wengine wamesimama sokoni, hawana kazi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Akatoka mnamo saa tatu asubuhi, akaona watu wengine wamesimama sokoni, hawana kazi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Akatoka mnamo saa tatu asubuhi, akaona watu wengine wamesimama sokoni, hawana kazi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 “Mnamo saa tatu akatoka tena, akawakuta wengine wamesimama sokoni bila kazi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 “Mnamo saa tatu akatoka tena, akawakuta wengine wamesimama sokoni bila kazi. Tazama sura |