Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 20:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Angalieni, tunapanda kwenda Yerusalemi; na Mwana wa Adamu atatiwa mikononi mwa makuhani wakuu na waandishi; nao watamhukumu afe;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 “Sikilizeni! Tunakwenda Yerusalemu, na huko Mwana wa Mtu atakabidhiwa kwa makuhani wakuu na waalimu wa sheria, nao watamhukumu auawe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 “Sikilizeni! Tunakwenda Yerusalemu, na huko Mwana wa Mtu atakabidhiwa kwa makuhani wakuu na waalimu wa sheria, nao watamhukumu auawe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 “Sikilizeni! Tunakwenda Yerusalemu, na huko Mwana wa Mtu atakabidhiwa kwa makuhani wakuu na waalimu wa sheria, nao watamhukumu auawe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 “Tunapanda kwenda Yerusalemu, na Mwana wa Adamu atatiwa mikononi mwa viongozi wa makuhani na walimu wa Torati. Nao watamhukumu kifo

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 “Tunapanda kwenda Yerusalemu, na Mwana wa Adamu atatiwa mikononi mwa viongozi wa makuhani na walimu wa Torati. Nao watamhukumu kifo

Tazama sura Nakili

Mathayo 20:18
15 Marejeleo ya Msalaba  

Simon Kananayo, na Yuda Iskariote, ndiye aliyemsaliti.

Toka wakati huo Yesu akaanza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemi, na kuteswa mengi na wazee na makuhani wakuu, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka.

Mwajua ya kuwa baada ya siku mbili itakuwa pasaka, na Mwana wa Adamu atasalitiwa apate kusulibiwa.

mwaonaje? Wakajibu, wakasema, Ana sharti ya kufa.

ILIPOKUWA assubuhi, makuhani wakuu wote na wazee wa watu wakafanya shauri juu ya Yesu, wapate kumfisha;

Wakasema, Bassi, mbona tunahitaji ushuhuda? Kwa maana sisi wenyewe tumesikia kwa kinywa chake.

mtu huyu alitwaliwa nanyi kwa shauri la Mungu lililokusudiwa, na kwa kujua kwake taugu zamani, nanyi mkamsulibisha kwa mikono mibaya, mkamwua:

Tufuate:

Matangazo

Matangazo