Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 20:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Hatta Yesu alipokuwa akipanda kwenda Yerusalemi, aliwachukua wanafunzi thenashara kwa faragha njiani, akawaambia,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Yesu alipokuwa anakwenda juu Yerusalemu, aliwachukua wale wanafunzi kumi na wawili faraghani, na njiani akawaambia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Yesu alipokuwa anakwenda juu Yerusalemu, aliwachukua wale wanafunzi kumi na wawili faraghani, na njiani akawaambia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Yesu alipokuwa anakwenda juu Yerusalemu, aliwachukua wale wanafunzi kumi na wawili faraghani, na njiani akawaambia,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Basi Isa alipokuwa anapanda kwenda Yerusalemu, aliwaita kando wale wanafunzi kumi na wawili na kuwaambia,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Basi Isa alipokuwa anapanda kwenda Yerusalemu, aliwachukua kando wale wanafunzi wake kumi na wawili na kuwaambia,

Tazama sura Nakili




Mathayo 20:17
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wale hawakujaliwa.


Yesu akaenda pande za Kaisaria Filipi, akawauliza wanafunzi wake akinena, Watu huninena mimi, Mwana wa Adamu, kuwa nani?


Siku ya pili watu wengi walioijia siku kuu, waliposikia kwamba Yesu anakuja Yerusalemi,


Siwaiti tena watumwa; kwa maana mtumwa hajui atendalo bwana wake; ninyi nimewaita rafiki; kwa kuwa yote niliyosikia kwa Baba nimewaarifuni.


si kwa watu wote, bali kwa mashahidi waliokuwa wamekwisha kuchaguliwa na Mungu, ndio sisi, tuliokula na kunywa pamoja nae baada ya kufufuka kwake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo