Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 2:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Nao waliposikia maneno ya mfalme wakashika njia; na tazama ile nyota waliyoiona mashariki ikawatangulia, hatta ikaenda ikasimama juu ya mahali alipokuwapo mtoto.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Baada ya kumsikiliza mfalme, hao wataalamu wa nyota wakaenda. Kumbe ile nyota waliyokuwa wameiona upande wa mashariki iliwatangulia hata ikaenda kusimama juu ya mahali pale alipokuwa mtoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Baada ya kumsikiliza mfalme, hao wataalamu wa nyota wakaenda. Kumbe ile nyota waliyokuwa wameiona upande wa mashariki iliwatangulia hata ikaenda kusimama juu ya mahali pale alipokuwa mtoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Baada ya kumsikiliza mfalme, hao wataalamu wa nyota wakaenda. Kumbe ile nyota waliyokuwa wameiona upande wa mashariki iliwatangulia hata ikaenda kusimama juu ya mahali pale alipokuwa mtoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Baada ya kumsikia mfalme, wale wataalamu wa nyota wakaenda zao, nayo ile nyota waliyoiona mashariki ikawatangulia, nao wakaifuata hadi iliposimama mahali alipokuwa mtoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Baada ya kumsikia mfalme, wale wataalamu wa nyota wakaenda zao, nayo ile nyota waliyoiona mashariki ikawatangulia, nao wakaifuata mpaka iliposimama mahali pale alipokuwa mtoto.

Tazama sura Nakili

Mathayo 2:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

Walipoiona ile nyota, wakafurahi furaha kuliwa mno.

wakinena, Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyola yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudu.

Akawapeleka Bethlehemu, akasema, Shikeni njia, mkahoji sana mambo ya mtoto; mkiisha kumwona, nileteeni khabari, illi nami nije nimsujudie.

Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ingʼaayo mahali penye giza, mwafanya vyema, mpaka kutakapopambazuka, na nyota ya assubuhi kuzuka mioyoni mwenu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo